VIDEO: LHRC yachambua sheria za uchaguzi zilizosainiwa na Rais Samia


Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefanya uchambuzi kuhusu Sheria za Uchaguzi baada ya kusainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 4, 2024 jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC Dkt. Anna Henga (Wakili) ameziainisha Sheria hizo kuwa ni Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya 2024.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBCRIBE

Post a Comment

0 Comments