F CHUO CHA ST JOSEPH SHINYANGA KINATANGAZA NAFASI ZA CHUO | Muungwana BLOG

CHUO CHA ST JOSEPH SHINYANGA KINATANGAZA NAFASI ZA CHUO


Mkuu wa Chuo cha mtakatifu joseph kilichopo shinyanga anatangaza nafasi za masomo kwa muhula mpya wa mwaka 2025/2026 katika fani zifuatazo

  • Procurement & Supply
  • Business Administration
  • Human Resource manag.
  • Community Development
  • ICT
  • Records management 
  • Accountanay
  • Full secrarial course
  • Nursery teaching & day care 

Wasiliana nasi kwa simu

0717583713 au 07888415842 au 0769982572 au tufollow hapa  @st.joseph_college_shinyanga

Chuo kipo shinyanga mjini katika jengo la chama cha mapinduzi mkoa gorofa ya 3 na 4.


Sifa za kujiunga na chuo ni uwe umemaliza kidato cha nne mwaka wowote na kupata angalau alama D katika masomo yasiyopungua mawili.


JINSI YA KUJIUNGA NA CHUO

1.DOWNLOAD FOMU KISHA IJAZE NA KUITUMA CHUONI KUPITIA ANUANI YA POSTA AMBAYO NI 735 SHINYANGA.


2.JAZA FOMU KUPITIA MTANDAO WA CHUO (ONLINE APPLICATION KUPITIA www.stjcs.ac.tz

3. Bonyeza linki hii 

https://forms.gle/fqX2WuekZk8DScwUA

Kwa masiliano zaidi piga simu chuoni kwa namba zifuatazo 0717583713 / 0788815842 / 0769982572









Chapisha Maoni

0 Maoni