VIDEO: Sakata la madada poa RC Chalamila atoa msimamo 'huu ni mwanzo tu'


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amezungumzia oparesheini ya kuwaondoa wafanyabiashara za ngono (Dada Poa) inayofanyika Wilayani Ubungo na kusema kuwa Mila,Desturi na Tamaduni za Tanzania hazikubaliani na biashara hiyo ya ngono pamoja na ndoa za jinsia moja hivyo Serikali mkoani humo itaendelea kupinga vitendo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments