FAIZA ALLY Atinga Tena Mahakamani

Mzazi mwenzie na Joseph Mbilinyi ‘Mr. Sugu’, Faiza Ally akiwa katika viunga vya Mahakama ya Mwanzo ya Sinza jijini Dar.

FAIZA Ally, ambaye ni mzazi mwenzie na mbunge wa Mbeya mjini kwa ‘leseni’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Mr. Sugu’ anadaiwa kukata rufaa na kurudi mahakamani kudai upya haki yake juu ya malezi ya mtoto wake.