LOWASSA Achukua Fomu ya Kugongea Urais Makao Makuu ya CHADEMA

Mwenyekiti wa Chadema (Kushoto) Mhe. Mbowe, na Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika makao makuu ya Chadema


 

Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam