1. Yatima hadeki
2. Utamu wa chips mimba
3. Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni
4. Usiyempenda kaja
5. Kobe
hapimwi joto
6. Acha kazi uone kazi kupata kazi
7. Ukichezea koki utalowa
8. Heshima pesa kipara kovu tu!
9. Mtumbwi hauna saitmira.
9. Silaha pesa bastola mzigo.
10. Hata uoge mjini huendi.
11. Chezea mshahara usichezee kazi.
12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa.
13. Ikisimama Panda.
14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwebwe.
15. Njia ya chooni haioti nyasi.
16. Likizo ya maskini ugonjwa.
17. When i grow up i want to be a scania.
18. Hata bibi alikuwa binti.
19. Kisigino hakikai mbele.
20. Kama mapenzi pesa
kaolewe na benki.
21. Hata barabara ina matuta lakini huwezi panda viazi.
22. Paka haishi kwa msela.
23. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa.
24. Mchana nzi usiku mbu.
25. Usimshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake.
26. Kama umelipenda (gari)
bonyeza nyota liwe lako.
27. Supermarket hawauzi mkaa.
28. Wewe nisubiri mimi nakungoja.
29. Zetu dagaa kuku tamaa.
30. Hata uwe na heshima vipi huwezi kumpokea askari bunduki