Prof. Mwandosya amenukuliwa akisema kuwa Magufuli haifahamu
na haijui CCM kwa kuwa hajawai kuwa hata mjumbe wa tawi la CCM.
Aidha ameweka wazi kutoridhishwa na mchakato uliofanywa na
Kamati Kuu kuipata tano bora na hatimae Magufuli.
Anasema kamati kuu haikuwa na mvuto kiasi kwamba Mwenyekiti
J.Kikwete hakuwa anajiamini,alifika wakati ana-adress kwa mwenyekiti na
kujishtukia "kumbe mwenyekiti ni mimi mwenyewe".
Profesa amesisitiza kuwa watu walikuja na majina mifukoni
kwani majina yalivuja kabla hata vikao.