Rais atunukiwa PhD ya Heshima (Sheria) na Chuo Kikuu cha Newcastle, Australia

Ni majuzi tu Rais Kikwete ametunukiwa PhD ya sheria kutoka UDSM. Leo tena atatunukiwa degree kama hiyo hiyo huko Australia.

Wadau hizi degree zimezidi sasa. nadhani atavunja rekodi ya kutunukiwa hizi shahada za heshima nyingi pengine kuliko yeyote yule kwenye hii dunia.