SHILOLE Afungiwa na BASATA Mwaka Mmoja

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa msanii SHILOLE kafungiwa na BASATA kujihusha na kazi YOYOTE ya SANAA kwa muda wa mwaka mmoja.