AJALI MBAYA: MABASI MAWILI YAGONGANA DARAJA LA WAMI

 Maelfu ya abiria wamekwama baada ya mabasi mawili kugongana kwenye daraja la Wami. Hakuna magari yanayopita tangu asubuhi.