LOWASSA ATIKISA WILAYANI MUFINDI ( MAFINGA)

Waziri wa muda mrefu wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wamekihama Chama cha Mapinduzi na kujiunga na Chadema huko Mafinga leo, Hii ni baada ya Mgombea Urais wa Ukawa Edward Lowassa kuingia Iringa leo