Picha 22 Kutoka Jangwani kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

 Mgombea Urais wa UKAWA Edward LOWASSA muda si mrefu atazungumza na wananchi katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho,Hizi ni Pichaz za awali katika ufunguzi wa kampeni hizo.