TAZAMA MASTAA WAKIJIACHIA MBELE YA RAIS JK

 Acha kabisa! Baadhi ya mastaa wa sinema na muziki Bongo, wamejiachia na kujikuta wakikata mauno mbele ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi aliyeambatana na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Asha-Rose Migiro hali iliyozua minong’ono kwa waalikwa.

“Nakumbuka mwaka 1995 na mimi nilikatwa lakini sikukata tamaa hadi 2005,” alisema JK akiunga mkono kampeni hiyo.

Baada ya uzinduzi huo, wasanii walimpa tuzo JK ambayo iliambatana na picha ya mke wake, Mama Salma Kikwete iliyotokana na kuiongoza vyema nchi hii na kumtakia mapumziko mema huku Migiro naye.