MABOMU MAWILI YALIPUKA ZANZIBAR

Mabomu mawili yamelipuka katika eneo kuu la mji la michenzani kisiwani zanzibar na hakuna madhara yaliyoripotiwa hadi sasa.