Familiaa ya Mkuu wa Majeshi General Davis Mwamunyange imetoa
kauli mara baada ya sitofahamu inayoendelea Mitandaoni Kuhusu Mkuu huyo wa
Majeshi,Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya
Kitaifa.Akizungumza kwa Niaba ya Familia Kaka Yake Davis Mwamunyange
aamethibitisha Mdogo wake anaendelea na Majukumu yake yupo Nje ya Nchi na
Anatarajiwa Kurudi Nchini siku za Karibuni.
Ni baada ya taarifa kuzagaa mitandaoni juu ya kulishwa sumu
kwa mkuu huyo.
Familia imesema anaendelea vizuri na yupo nje ya nchi kwa
majukumu ya kitaifa.
Chanzo: Kaka wa Jenerali Davis Mwamunyange.



