Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe
(kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe.
Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani
kwa Deogratias Filikunjombe
Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam.