Amini: Sitokaa kimya tena kuanzia sasa

“Unajua nashukuru kwanza mashabiki wangu wamepokea vizuri huu ujio wangu na nimefanya interview ile siku ambayo wimbo umetoka mikoa 23 ya Tanzania. Huko nyuma haikuwahi kutokea kwangu. Hii inaonyesha jinsi gani sasa hivi muziki umekuwa. Na sasa hivi nawaahidi mashabiki wangu kuwa sitokaa kimya sana. Itakuwa ni ngoma juu ya ngoma tu,” Amini amesema