Sheikh Ponda aachiwa huru

Sheikh Issa Ponda.

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya jinai ameachiliwa huru asubuhi hii na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Taarifa zaidi na picha zitawajia hivi punde.