F Faiza Ali Atoa Mpya..Amtumia Mtoto wake Kuomba Hela Kwa Mbunge Sugu Baba wa Mtoto Kipitia Instagram | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Faiza Ali Atoa Mpya..Amtumia Mtoto wake Kuomba Hela Kwa Mbunge Sugu Baba wa Mtoto Kipitia Instagram

Leo Mrembo Faiza Ally Asie ishiwa na vituko amempiga video mtoto wake Shasha akiwa analia huku akiomba atumiwe hela ya kusuka nywele na kuipost instagram.....Kwenye video hiyo mtoto amesikika akisema baba naomba ntumie hela nikasuke huku akibugujikwa na machozi, na baada ya kusema hivyo Faiza amesikika akimuuliza Baba ako anaitwa nani?  mtoto akajibu 'Joseph ' Joseph nani? 'Mbilinyi'  alafu akaendelea akamwambia mtoto aseme mwambie leo mama hana hela!