STAA ALIKIBA AKIWA NA KUNDI LA SAUTI SOL KWENYE MAANDALIZI YA VIDEO

Video hiyo imefanyika wiki hii mjini Mombasa, Kenya. Kampuni ya Gorilla Films iliyochini ya muongozaji Justin Campos na mke wake Candice, ilisafiri hadi Mombasa kwaajili ya kushoot video hiyo.

Candice alishare picha ya behind the scenes kwenye Instagram na kuandika: Guess what we have been up to? @sautisol @iamchimano @bienaimesol @officialalikiba @gorilla_films @icandicam #Mombasa #kenya [movie_camera] [sunglasses] #onset #setlife #tanzania #africa #anotherone.
Collabo hiyo ilifanyika mwaka jana jijini Nairobi, Kenya.