F Video Mpya: Kamatia ya Navy Kenzo | Muungwana BLOG

Video Mpya: Kamatia ya Navy Kenzo

Aika na Nahreel wanaounda kundi la Navy Kenzo wakiwa katika pozi.

Wimbo huu audio ameifanya Nahreel katika studio zake za The Industry huku video ikitayarishwa na director aliyeitayarisha pia ngoma yao inayobamba Afrika ya Game anayeitwa Justin Campos.