Shirika la umeme Tanesco lawasilisha maombi EWURA la kupunguza bei ya umeme

 Shirika la umeme Tanesco lawasilisha maombi EWURA la kupunguza bei ya umeme kwa asilimia 1.1 kwa mwaka wa kwanza na kisha asilimia 7.9 kwa mwaka wa pili.

Ombi hilo la kushusha bei pia linakwenda sambamba na kuondoa gharama za service charge kwa wateja wa majumbani.

Uamuzi huo umetangazwa leo na mkurugenzi mkuu wa tanesco injinia Felchesmi Mramba.