Bodaboda ikiwa na Abiria imeingia chini ya Semi Trela Kibaha

 Ajali imetokea KIBAHA kwa Mathias kwenye Kituo cha mafuta GBP Pikipiki ( Bodaboda) na Abiria wake wamenusurika kufa baada ya kuingia chini ya Semi Trela likiwa linatokea Mikoani, Hali ya Dereva na Abiria wake sio nzuri kutokana na majeraha makubwa walio yapata katika Ajali hiyo..

Hata hivo majeruhi hao wamepelekwa katika Hospitali ya Tumbi kwa Matibabu zaidi..