F AJALI: Uda yagongwa na Trani maeneo ya Kamata k,koo | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

AJALI: Uda yagongwa na Trani maeneo ya Kamata k,koo

Ajali mbaya imetokea Usiku huu maeneo ya Kamata K,koo ikihusisha Daladala ya Uda inayo elekea Mbagara imegongwa na Trani na inasemekana kuna baadhi ya Watu wamefariki Dunia katika ajali hiyo.. Tutakujuza zaidi tukipata Habari kamili