F BABA LEVO AANDIKA UJUMBE HUU MTANDAONI KWA STAA DIAMOND PLATNUMZ(SOMA HAPA) | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

BABA LEVO AANDIKA UJUMBE HUU MTANDAONI KWA STAA DIAMOND PLATNUMZ(SOMA HAPA)

Msanii mkongwe wa Bongo fleva ambaye pia anafahamika kwa vituko vyake mitandaoni
, kwenye radio na Tv BABA LEVO ametumia instagram kutoa ya moyoni kuhusu Diamond Platnumz na uwezo wake wakutangaza muziki wa Tanzania nje ya nchi.

“Tutaruka rukaaaaa lakini bado @diamondplatnumz atakuwa ndo mkombozi wa hii sanaa yetu… Kututangaza katufungulia njia katufungulia masoko ya nnje ya tanzania.. Hahahahaa #SIMBA Mi najisemwa ukweli bhana MONDI ni NOUMA japo huko siku za nyuma asha wahi kunikwangua ka korasi kangu hahahaaaa #D_ONE “

Baba Levo na Diamond waliwahi kuwa kwenye wimbo wa Kigoma All Staa ‘Leka Dutigite’.