Breaking News: Lembeli Arudi CCM, Asema mimi Sijakatika Mkia

Aliyekuwa mgombea kiti cha ubunge mjini kahama kupitia kupitia chama cha demokrasia chadema, Leo mbele ya mkutano wa Raisi mjini kahama ametamka kwamba"mheshimiwa raisi nakuunga mkono kwa kazi nzuri unayoifanya na ninakuhakikishia kuwa  mimi sijakatika mkia."raisi nae akamjibu "karibu sana na ninayekuhakikishia kwamba huku ni sehemu salama na wewe hujakatika mkia" hivyo Lembeli kwa habari za Leo arejea kwenye msikiti wake wa zamani.