Breaking News: Moto wateketeza Gereji ya magari Sinza Mugabe

Moto wateketeza Gereji ya Magari iliyopo maeneo ya Sinza kwa Mugabe na kusababusha hasara kubwa na mpaka sasa haija fahamika nini chanzo cha moto huo.. Muungwana Blog imefika katika eneo la tukio na kukuta Magari ya zimamoto yakiwa yanaendelea kupambana na moto huo.


Angalia Video ya Moto huo..