Mti Wenye Sura ya Donald Trump Waonekana Uingereza

 DUNIA ina maajabu mengi, wakati joto la uchaguzi nchini Marekani likiwa limepamba moto, mti wenye sura inayofanana na mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump umeonekana huko Glewstone, Hereford nchini Uingereza.