VIDEO: Apigwa na Wanajeshi Baada ya kuingia Kambi ya jeshi Kinyume na sheria

Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa Jina la Julias Wambura Maruwa mkazi wa kataa ya kipunguni Moshi Bar Dar es salaam, Ameingia choo cha Kike Baada ya kupita kinyume na sheria katika Kambi ya Jeshi ya Mizinga iliyopo Kigamboni.

Mwangalie akisimulia kilicho mkuta huko...