Ajali ya Basi la Expiress linafanya zake Rombo Mwanza

Ajali mbaya yatokea maeneo ya Bomangombe ikihusisha Basi la ROYAL EXPRESS linalofanya safari zake Rombo Mwanza, inasemekana watu 3 wamefariki Dunia.. M/mungu azilaze Roho za marehemu Peponi.. Amin











Angalia VIDEO hii ya ajali hiyo..