Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dk Servacius Likwelile
Kabla ya uteuzi huo Doto alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera).
Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU, Gerson Msigwa
Imeeleza kuwa Doto ataapishwa kesho saa 2:45 Asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.