F Mcheza filamu za vichekesho Gene Wilder afariki | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Mcheza filamu za vichekesho Gene Wilder afariki

Gene Wilder afariki dunia

Mcheza filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83.

Wilder amekua akiugua ugonjwa kwa kukosa fahamu{ Alzheimers}.

Aliwahi kucheza filamu maarufu ya , ''Willy Wonka-The Chocolate Factory''.