Rais John Magufuli
Alikuwa akihutubia kabla ya kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q 400 zilizonunuliwa Canada.
Pamoja na mambo mengine, Rais amesema fedha za kununulia ndege mbili zipo na kuiata wizara iendelee kushindanisha kampuni za kutengeneza dnege kwa kuwa huwa wanashusha bei.