Video: Mtazamo wa Idris Sultan kuhusiana na dhamira ya kuhamishia serikali Dodoma
byUnknown-
0
Idris Sultan amekuja na episode zake za Youtube alizozipa jina Mtazamo na sasa ameshaachia episode ya pili inayozungumzia dhamira ya serikali kuhamishia makao yake Dodoma.