F Breaking News: Basi la Tashrif linateketea kwa Moto | Muungwana BLOG

Breaking News: Basi la Tashrif linateketea kwa Moto

Basi la kampuni ya TASHRIF linalofanya safari zake Tanga kwenda Dar es salaam inateketea kwa Moto muda huu katika eneo la Mbwewe karibu na kijiji cha Lugoba.

Chanzo cha ajali hiyo ya Moto haijafahamika mpaka sasa na hakuna aliye kufa wala majeruhi.. Endelea kuwa nasi tutakujuza zaidi..






Angalia Video hii Jinsi Basi hilo linavyo teketea kwa Moto..