F New Video: Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

New Video: Ommy Dimpoz ft Alikiba – Kajiandae

Ommy Dimpoz ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kajiandae’ akiwa ameshirikiana na Alikiba. Video ya wimbo huo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika tamasha la Fiesta lililofanyika Jumamosi hii. Video imeandaliwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.