F Rekodi zaonyesha Ronaldo ana magoli kuliko mechi alizocheza | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Rekodi zaonyesha Ronaldo ana magoli kuliko mechi alizocheza

Cristiano Ronaldo ameonyesha kweli ni mshambuliaji hatari na kiboko kati ya waliowahi kuichezea Real Madrid.Tokeo la picha la cristiano ronaldo

Tokea ametua Madrid takwimu zinaonyesha hivi:

Mechi 361 
Mabao 374 
hat-tricks 39
Makombe 8

Ballon d'Ors 2