Mabondia Mohamed Matumla Na Mfaume Mfaume Wasaini Kuzipiga Feb 5 Uwanja Wa Ndani Wa Taifa

 Mratibu wa mpambano wa ngumi Jocktan Masasi katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Mohamed Matumla Baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga feb 2 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam.


 Mmoja wa Viongozi wa TPBC Joe Anena  katikati akiwainuwa juu mikono mabondia Mfaume Mfaume kulia na Mo0hamed Matumla wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa. kulia kabisa ni mmoja wa wajumbe wa TPBC Chese Masanja

 Bondia Mfaume Mfaume akisaini mbele ya mwanasheria Hussein Mlinga wanaoshuhudia ni  wajumbe wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chese Masanja (kushoto) na mmoja wa Viongozi wa TPBC Joe Anena

Bondia Mohamed Matumla akisaini mbele ya mwanasheria Hussein Mlinga anaeshughudia ni mmoja wa wajumbe wa kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Chese Masanja na Mmoja wa Viongozi wa TPBC Joe Anena.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items