Ripoti bado zamtuhumu Putin kuingilia uchaguzi wa Marekani

Ripoti zinazozidi kutolewa zinazidi kumyooshea kidole raia wa Urusi Vladimir Putin na kusema kuwa alihusika kwa namna moja ama nyingine katika kampeni za kumuunga mkono rais mteule wa Marekani Donald Trump.

FBI na CIA wamsema watazidi kuishutumu Urusi kuingilia uchaguzi usiowahusu.

Kwa mujibu wa habari Putin hakuingilia mtandao wa kuhesabu kura bali alikuwa na watu wake katika majimbo mbalimbali ya Marekani na aliweza kushawishi baadhi ya vituo vya kupigia kura.

Ni wazi kuwa rais Putin alitaka sana Donald Trump aingie madarakani.

Hata hivyo mpaka sasa Putin hajakubaliana na tuhuma hizo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items