Video: Diamond alamba dili jingine nono la mamilioni


Diamond Platnumz ametoka kusaini endorsement deal nyingine inayovujisha udenda mdomoni (mouth-watering deal).

Mambo yote yamefanyika Ijumaa hii kwenye ofisi zake. Wakati Donald Trump akisherehekeaa kuapishwa Rais mpya wa Marekani, Chibu alikuwa makao makuu ya WCB na uongozi wake wakisherehekea kusaini deal hilo.

“Jus Pined out! Another deal today! 🙏 Thank you God for the #Blessing,” aliandika kwenye video aliyoiweka Instagram.

Bado haijajulikana ni deal na kampuni gani, lakini kwa sherehe hizo, hakuna shaka linaongezeka kwenye orodha ya mikataba yake minono aliyonayo ikiwemo ya Vodacom, DSTV na Coca-Cola.



JIUNGE NASI KATIKA
INSTAGRAM @Muungwanablog

FACEBOOK @Muungwana Blog

YOUTUBE @Muungwana Tube

BOFYA HAPA KU-INSTALLAPP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items