Kaimu Jaji mkuu wa Tanzania amesema mahakama inafanya kila liwezekanalo kutekeleza majukumu yake.

Kaimu jaji mkuu wa tanzania mh profesa ibrahim juma amesema  mahakama inafanya kila liwezekanalo kuhakisha kuwa muhimli huo unatekekleza majukumu yake kwa kufuata misingi na kanuni zote zilizopo kwani inatambua  imani kubwa waliyonayo wananchi dhidi ya chombo hicho chenye jukumu la kutoa haki.

Kiongozi huo mkuu katikn chombo hicho ameyasema hayo jijini dar es salama wakati alipokuwa akizungumza na wajumbe wa  barala la uongozo  la chuo  cha mahakama  lushotto aliopkutna naoa katika ofisi za taasisi ya  mafunzo ya sheria  kwa vitendo.

Naye mwenyekiti wa  baraza  la uongozi la chuo hicho  mh jaji mstaafu  john mroso amesema wanatambua kuwa kuna changamoto kubwa ya masuala ya rushwa  na matumizi mabaya  ya rasilimali  za umma na hivyo wanafanya kila liwezeakanalo kuhakisha kuwa  kuna kukuwepo na kizazi ambacho kitakuwa na hofu ya rushwa.
Mpya zaidi Nzee zaidi