Ndege imeripotiwa kupata ajali wakati wa safari yake kutoka Zimbabwe kwenda Msumbiji.

Ndege imeripotiwa kupata ajali wakati wa safari yake kutoka Zimbabwe kwenda Msumbiji.

Kwa mujibu wa habari ndege hiyo iligonga mlima baada ya kuwepo kwa ukungu wa hali ya juu angani.

Mkuu wa polisi nchini Msumbiji Gelindo Vumbuca amesema kuwa ajali hiyo imesababisha vifo vya watu sita.

Ndege hiyo ilikuwa katika safari yake kutoka Beira kuelekea mji mkuu wa Zimbabwe Harare.

Wale wote waliopoteza masiha wamesafirishwa na helikopta kuelekea hospitalini Zimbabwe.