Waziri wa katiba na sheria mhe. Prof.palamagamba kabudi awasili ofisini kwake dodoma

  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Joyce Mtuma mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma.

  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma

  Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akiangalia kadi ya Pongezi iliyoasiniwa na watumishi wa wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na Jaji mfawidhi Kanda ya Dodoma Mhe. Mwanaisha Kwariko alipowasili Wizarani mjini Dodoma.