F Zitto: NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda | Muungwana BLOG

Zitto: NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda


Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda.
Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo

NECTA itaweka wazi uhakiki wa vyeti vya Elimu ya Watumishi wa Umma wote tarehe 30 April, 2017