Hii ndio tahadhari iliyotolewa na jeshi la polisi msimu huu wa sikukuu

 Jashi la polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu huu wa Sikuu ya Pasaka kuhusiana na suala zima la ulinzi na usalama wa mali zao huku likisema kuwa kuna baadhi ya watu hutumia sikukuu hizi kufanya vitendo vya uhalifu hasa wizi wa kutumia silaha, wizi wa magari, utapeli na vitendo vingine.

Hii ni taarifa yake:


Mpya zaidi Nzee zaidi