Tuzo ya Rais ya Tsh milioni 50 kurudishwa


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira  January Makamba asema watarejesha tuzo ya Rais ya mazingira (TZS 50m) itakayotolewa kwa atakayepanda miti mingi na kutunza uoto wa asili.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items