JESHI la polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam lakamata Silaha iliyotumika kwenye
matukio mbalimbali ya uhalifu jijini.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Kameshna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simonin Sirro alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
kamanda Sirro ameeleza kuwa siraha hiyo iliotumika kwenye matukio mbalimbali jijini
hata hivyo Kamanda Sirro ametoa tahadhari kwa waendesha pikipiki (bodaboda) kuwa makini kutokana na kuwepo kwa waharifu wanaokuja kama wateja na kuwaibia maderva hao.
Sirro ameshauri kuwa vijiwe vya bodaboda viwe ni vya uogozi pamoja kuwapiga picha abiria wanaowajengea hofu kwa ajili ya usalama wao.
kwa wakati mwengine Kamanda Sirro ameutaka uongozi na wakazi wa Kigogo kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ili kuimarisha usalama na vita ya zidi ya uharifu.
Ajari ya Basi na Reli
wakati huo huo kamanda Sirro amezungumzia ajali iliyotokea leo Jijini Dar es Salaam, kati ya gari aina ya Eicher iliyokuwa ikipita kwenye njia ya reli na kusababisha ajali hiyo.
Ajali hiyo iliyotokea eneo la Goldstar imesababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi zaidi ya 30 ambao wapo walipelekwa amana kwa matibabu na kwamba wengine wameshaanza kuruhusiwa.
Angalia Full Videos hii kamanda Sirro..
