Muungwana Blog imeungana na Watanzania kuomboleza vifo vya wanafunzi 33



Muungwana Blog kwa masikitiko makubwa pamoja na kuguswa kwa vifo vya wanafunzi 33, Walimu Wawili, na Dereva Moja wa shule ya St. Lucky, tunaungana na Watanzania wenzetu wote kwa kuwapa pole wazazi, ndugu, jamaa, marafiki  na walimu wa wanafuzi walitutoka katika ajali iliyotokea Karatu Arusha.

Hakika mungu ni mwema zaidi tunawaombea walale kwa raha kwenye nyumba yao ya milele.
Uongozi na wafanyakazi wa Muungwana Blog pamoja na Muungwana Tv tunaungana na Watanzania wenzetu kwenye msiba huu wa taifa.

Mungu ametoa mungu ametwaa jina lake lihimidiwe/ Inna lillah Wainna Ilaihi Raajiuun.

Mpya zaidi Nzee zaidi