Nape amposti Rais Magufuli na kuandika Ujumbe huu


Mbunge wa Mtama mapema leo hii baada ya Rais John Magufuli kumfuta kazi Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospita Muhongo kutokana na wizara yake kutowajibika na kashafa ya Makontena ya Mchanga wa w Dhahabu.
Rais Magufuli amepokea taarifa ya awali  ya uchunguzi wa Kontena za mchanga wa Dhahabu.
Nape Mnauye amemsifu kitendo cha Rais 
Magufuli kuwawajibishwa watendaji wa serikali na kumpongeza kwa kitendo hicho




Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items