Msanii Roma Mkatoliki amesema kwamba kwa sasa kazi zao zimekwama na wanashindwa kufanya vitu vingi. Roma amesema hiyo ni kutokana na hasara kubwa iliyopatikana katika studio yao Tongwe Records.
Roma ameieleza Clouds360 kwamba dua yao kubwa kwa sasa ni ajitokeze kuna mtu/watu anaweza kuwasaidia kurejesha vifaa vilivyochukuliwa katika studio yao.
.
.
" Mimi ni msanii, mimi ni mfanyabishara hivyo lazima kazi ziendelee. Ndio maana hata sasa nimeona nitoke kuhangaika ili 'tumove on'.......Kama tunaweza kusaidiwa tunaomba mtu yeyote aweze kuona jambo la studio kwa jicho tofauti.".
RomaMkatoliki
